Kuhusu sisi

Huggle inakuruhusu kugundua na kuungana na watu waendao sehemu uendazo, na kukuonyesha sehemu za pamoja mlizonazo.

Huggle inachuja unayejiunga naye kutokana na sehemu unazoenda, vitu unavyofanya, mambo unayoyapendelea na jinsi unavyoishi maisha yako. Yaani wewe unafafanuliwa na sehemu uendazo, hivyo wacha unavyoishi ndiyo kukufahamishe.

Jiunge na shangwe ya Huggle.